Times Square New York City siku kama ya leo hua hapatoshi watu kutoka kila penda ya Dunia hufurika mahali hapa na kusherehekea mkesha wa mwaka mpya.
Ilikua ni mida ya saa 5 asubuhi tayari watu walikua wengi na ifikapo mida saa 8-9 mchana mahali hapa hufungwa walio ndani ya Times Square hawawezi kutoka na walio nje hawezi kuingia Times Square
Kila pembe ya Times Square imezungukwa na vikwangua anga vyenye matangazo ya Luninga.
Watu wakizidi kuingia Times Square.
Vikwangua Anga Times Square.
Mambo hayo ya kuukaribisha mwaka Times Square msichana wa Ng'ombe kama anavyoonekana.
Watu wakijiandaa kwa mkao wa mkesha wa mwaka mpya.
Juu na chini ni mandhali ya Times Square
Juu na chini ni ulinzi kila kona ya Times square
NY Ebra akivinjali Times Square
Juu na chini ni NY Ebra (kulia) akiwa na Paul wakijaribu miwani yenye namba za 2012
Watu wakiwa Times Square tayari kwa sherehe za mkesha wa mwaka mpya.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
No comments:
Post a Comment