Metro Tires iliyopo Baltimore kama bango lao linavyoonyesha na ipo miles 3 kutokea kwenye I-95
Thecla akimuagizia Mpwa tairi 4 mpyaaa kama zawadi yake ya Christmas aliyozawadiwa na Mkurugenzi wa Metro Tires, Kessy ,iliniweze kukabiliana na shikirimu za winter ambazo zishaanza kuanguka mikoani.
Ndinga la Mpwa likiwa juu ya jeki likisubiri viatu vipya
Ndinga la Mpwa likiwa limevaa kiatu kipya zawadi maalum ya Christmas kutoka kwa Mkurugenzi wa Metro Tires.
Mpwa anatoa shukrani kwa Metro Tires,Mkurugenzi Kessy na Mkewe Thecla kwa zawadi ya matairi mapya manne yenye thamani ya $256.08 kusema ukweli mmeniacha mdomo wazi sijui niseme nini kitakacholingana na zawadi hii, nawatakia Christmas njema na mwaka 2012 uwe mwaka wa mafanikio, ASANTE SANA NA MUNGU AWAZIDISHIE.
Kiatu kipya kama kinavyoonekana,Mkurugenzi wa Metro Tires amenituma niwaume sikio kwamba Tairi zake ni Bei nafuu ukitaka mpya au za zamani atakupa bei poa sana na kama unaona Baltimore ni mbali basi usisite kupiga simu nayeye atakuletea Tairi popte pele ulipo na kukufungia kwa bei nafuu ambayo hautaamini masikio yako. UMEFIKA SASA KWA WATANZANIA 2012 UWE MWAKA WA KUNYANYUANA, TUSIPOUNGANA MKONO WENYEWE KAMWE HATATOKEA MTU BAKI AKAKUFANIKISHA, MAFANIKIO YA KESSY NI FAIDA KWAKO HATA KAMA ITATOKEA SIKU HUNA PESA ZA KUNUNULIA MATAIRI NADHANI KESSY ATAELEWA LUGHA YAKO 100% KULIKO HUYO MTU BAKI.
ASANTENI.
3 comments:
YAANI MPWA TAIRI ZINAONEKANA NI MPYA SANA KULIKO GARI LAKO. KWA HADHI YAKO ITABIDI UITRADE HIYO GARI, KUTU NYINGI UNAWEZA KUPATA TETENASI.
mjomba luka eeeh achana bwana hongera sana lakini pia nnakuliza kwa wao jaama siunawatangazi biashara yao sasa vipi usipate tairi mpya mkuu..........hahaha/lol,(Meya Seattle wa.........A.DOLA)
na sisi tulio tanzania jamani hatupati hizo tires
Angela kessy
Post a Comment