Ndugu Watanzania,
Mfuko wa Jumuiya ya Watanzania kwa ku shirikiana na Radio Mbao tunapenda kuwaarika Watanzinia wote kuja kujumuika katika
PARTY YA NEW YEAR END. Karibuni tuje tujumuike katika kuaga mwaka wa 2011 na kuja kuukaribisha mwaka wa 2012.
PARTY ITAKUWA DAYS INN HOTEL ADDRESS 1212 E. DUBLIN GRANVILLE RD, COLUMBUS OH 43229.
DJ MUSS MUSS FROM MICHIGAN WILL BE IN TOWN ENTERTAIN.
KWA MAELEZO ZAIDI TAFADHARI SOMA FLIER HAPO CHINI.

No comments:
Post a Comment