ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 31, 2011

SALAAM ZA MWAKA MPYA

Salaam za mwaka mpya kutoka kwa Quizella na baba mwenye nyumba wake wanaoishi, Maryland, USA.
Wanawatakia wadau wote heri ya mwaka mpya 2012 uwe mwaka wa amani, mshikamano na upendo.

3 comments:

Anonymous said...

hahahaaa Mjomba umejitahidi sana kuelezea ' baba mwenye nyumba wake wanaoishi' safi sana lakini wabongo hawataelewa wewe subiri waamuke. hahaaaaa

Anonymous said...

Awwwh they look so nice and happy together I love them.
LINDA a.k.a Mrs.Mali

Anonymous said...

Mwenzangu,ngonja waamuke,Happy new Year Mpwa