Familia ya Bakirane inatoa shukrani kwa watu wote (ndugu, jamaa na marafiki) kwa wema na ukarimu mlionyesha katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na baba yetu mpendwa Thomas Bakirane
Mungu azidi kuwabariki na kuwaongezea pale penye upungufu.
Mbarikiwe wote na Mungu azidi kuwatangulia. Sikukuu njema.
Familia ya Bakirane
Mungu azidi kuwabariki na kuwaongezea pale penye upungufu.
Mbarikiwe wote na Mungu azidi kuwatangulia. Sikukuu njema.
Familia ya Bakirane
No comments:
Post a Comment