Bro. Luke
Hi
Huyu ni Joel kutoka PA (sifikiri utanikumbuka) ulinisaidia sana nilipoachwa club Safari ukanileta nilale kwako; wema wako sitousahau na familia yangu wajua hilo. Nataka kukushukuru sana sana sana unavyosaidia kuhusu ma boy Steina. I surely truly appreciate from the heart. Nimetingwa siwezi kutua D.C kumuaga Steina sema moyoni nitakuwa nanyi. Steina mtoto wake aliyemuacha ni kwa sababu mimi nilimuunganisha na yeye na Safina, ma mtoto wake na nitakuwa naye tight Smith in Steina's memory. Kuhusu mchango nilideposit ktk account ya Elimchili. Muhimu nakushukuru sana kw ayote ufanyayo na siku moyo will show my gratitude. Here is a pic tulichuku apamoja wakati tunaishi pamoja feel to use it if you can.
.Ubarikiwe na keep the good work.
Thanks bro.
jmk
Kutoka kushoto kwa muangaliaji Stide, Safina, Marehemu Steina, Paul na mimi Joel


1 comment:
si wewe tu kaka hata mimi pia lishasaidiwa na lUCAS,najua kasaidia wengi na ndo maana hii blog inapendwa na kukubalika na watu wengi ni kwa sababu Luke ni mtu wa watu na anapendwa sana.
Post a Comment