ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 31, 2011

40 YA DADA YAKE NA MOZA BROOKLYN, NEW YORK

Ustadhi Maftaha akiendesha kisomo cha arobaini ya dada yake Moza Jumamosi ya December 31, 2011 Brooklyn, New York 
Moza akiandaa makulaji kwenye kisomo cha arobaini ya dada yake aliyefariki Tanzania November 10, 2011
 Kushoto ni NY Ebra akiwa na Tahir 
 Kisomo cha arobaini ya dada yake Moza kikiendelea pichani ni Ustaadhi Maftaha (shoto) na ustaadhi  Abass.
 Wakina mama nao wakiwa kwenye kisomo cha arobaini ya dada yake Moza
 Watanzania wakijumuika pamoja kwenye kisomo cha arobaini ya dada yake Moza iliyofanyika Jumamosi December 31, 2011 Brooklyn, New York.
 Vijana nao hawakua mbali.
 Najat mama mwenye nyumba wake Tahir Bihal akitayarisha maakuli.
 Akina mama wakijiandaa kupata chochote baada ya kisomo.
Sheh Mohamed (shoto) akibadilishana mawili matatu na ustaadhi Maftaha.
Sheh Seleman (shoto) akiwa na Shaban.

No comments: