
Wanachama wa upinzani UDPS wakishikilia picha za Etienne Tshisekedi zilizo na damu baada ya walinzi wa rais kufyatua risasi kwenye kundi la watu nje ya uwanja wa ndege wa Kinshasa,NDjili huko Kinshasa.
Maelfu ya watu wanaoripotiwa kufikia 3000 wamekimbia jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wakihofia mlipuko wa ghasia.Kwa habari zaidi Bofya Hapa
No comments:
Post a Comment