ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 18, 2011

WADAU WA MCHEZO WA NGUMI WASHIRIKI MAZISHI YA BONDIA MOHAMEDI KIDEVU LEO

Baadhi ya waombelezaji wakjisghikilia mwisli wa aliyekuwa bondia Mohamedi Kidevu kwa ajili ya kwenda kuzika maeneo cha Chanika leo mchana.
Bondia Said belwa (kulia) akiwasiliana na wadau mbalimbali wa mchezo wa masumbwi kujua talatibu za mazishi kabla ya kwenda kuzika chanika leo kushoto ni bondia Japhert Kaseba(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments: