Advertisements

Tuesday, December 20, 2011

YALE,YALE

Muuza mafuta kituo cha BP kilichopo makutano ya barabara za Makunganya na Mkwepu jijini Dar es Salaam (katikati) akiwahudumia wateja wake kama alivyokutwa kituoni hapo jana. Vituo vingi jana vilidai havina mafuta. (Picha na Fadhili Akida).

No comments: