Askari wa Kikosi cha Kuzuia Ghasia watanda Chuo Kikuu
Askari wa Kikosi cha Kuzuia Ghasia wakiwa wametanda na magari eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), sehemu ya Mlimani, baada ya wanafunzi zaidi ya 80 kusimamishwa na zaidi ya 10 kufukuzwa. (Na Mpigapicha Wetu).
No comments:
Post a Comment