ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 9, 2012

DMV YAONJA ASHIKIRIMU

 Visinoo visivyokua na madhara yeyote vilianguka maeneo ya DC, MD, VA Leo kuanzia mchana na baadae kuchanganyika na na mvua iliyoendelea mpaka jioni ambapo ilikeuka tena kua snoo shawa ambayo ilikua inayeyuka inapogusa ardhi kwa sababu hali ya hewa haikua baridi sana viwango vya hali ya hewa vilionyesha nyuzi joto 44F-33F ambayo ni sawasawa na nyuzi joto 6C-1C
 Snoo shawa ambayo baadae ilIchanganyika na mvua kama inayoonekana hapa.
Hivi ndivyo ilivyoonekana kwenye magari yaliyoegeshwa muda mrefu

No comments: