MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Lionel Andrés Messi ameshinda tena tuzo ya Fifa ya mwanasoka bora wa mwaka 2011 ya Ballon d’Or kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kutwaa tuzo hiyo mwaka 2009 na 2010.
Mshambuliaji huyo kutoka Argentina mwenye umri wa miaka 24, aliwshinda Cristiano Ronaldo wa Real Madrid na mchezaji mwenzake wa Barcelona, Xavi Hernández.
Tuzo nyingine zilikwenda kwa Kocha wa Barcelona, Pep Guardiola aliyepata tuzo ya kocha bora wa mwaka na kocha wa Manchester United, Sir Alex Ferguson aliyeshinda tuzo ya huduma kwa soka.

No comments:
Post a Comment