Habari za leo Mabloga wenzangu natumaini ya kuwa mtakuwa ni wazima wa afya njema, Hongereni kwa kazi nzuri ya uhabarishaji na uburudishaji, mimi pia nipo salama kabisa,
Naombeni msaada wenu wa kunitambulishia Link mpya ya Blog yangu kwa wadau mimi ni Kijana kutoka Mkoani Mbeya naitwa Greyson Salufu ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Redio Bomba FM. Natanguliza Shukurani zangu. Asante sana.

Jina La Blog: Chimbuko Letu
Habari wadau wote popote Duniani, Napenda kuwakaribisha katika Libeneke Chimbuko Letu.. Ambapo kuna mabadiliko ya Link yahttp://www.chimbukoletu. blogspot.com/
Ambapo Mwanzo ilikuwa ikisomekahttp://ukurasampyahuu. blogspot.com
Asanteni sana kwa Kutembelea Chimbuko Letu na Karibuni tena.
Ambapo Mwanzo ilikuwa ikisomekahttp://ukurasampyahuu.
Asanteni sana kwa Kutembelea Chimbuko Letu na Karibuni tena.
LINK NI http://www.chimbukoletu.
Kwa pamoja Tunaendeleza Burudani na Habari.
No comments:
Post a Comment