Shoto ni Baba mzazi wa Elimchilly (aliyembeba mtoto wa marehemu Sean Mrema) akiwa na dada ya marehemu (kulia) wakiwa KIA wakisubili mwili wa Steina Mrema.
Baba mdogo wa Steina (shoto) akiwa na mama Steina wakiuaga mwili, kati ni mjukuu wake Sean Mrema.
Gari lililobeba mwili wa marehemu likiwa tayari kuelekea Kanisani kwenye misa ya kumuaga Steina Mrema
Kutoka shoto ni dada ya marehemu, Dorothea Mrema, Mtoto wa marehemu, Sean Mrema, mama mtoto Safina Lindwe Msuya, Azzumina Msuya (dada yake Safina) wakiwa kwenye misa ya kumuaga marehemu, Mbokomu mkoani Kilimanjaro.
Ndugu, Jamaa na marafiki wakimuaga mpendwa wao, Steina Mrema
Ndugu, Jamaa na marafiki wakimuaga mpendwa wao, Steina Mrema mwenye shati jeupe ni kaka yake Safina anaeitwa Mhindi.
Familia ya Steina na Safina wakiwa kwenye misa ya kumuaga marehemu iliyofanyikia Mbokomu mkoani KIlimanjaro.
Kutoka shoto ni mama mzazi wa Steina, dada yake Steina, Dorothea Mrema, mtoto wa marehemu, Sean Mrema, mama mtoto, Safina Msuya na Azzumina Msuya dada yake Safina wakiwa kwenye misa ya kumuaga marehemu.
Kutoka kulia ni mama mzazi wa Steina akiwa na ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye misa ya kumuaga Steina Mrema iliyofanyikia Mbokomu mkoani Kilimanjaro.
Hii ndio nyumba ya milele ya mpendwa wetu, ndugu yetu, Mtanzania mwenzetu na rafiki yetu mkubwa Steina Mrema. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema ailaze roho yake pema peponi AMINA.
Wapili toka shoto ni Safina Msuya, Mtumishi wa Kanisa, Baba mzazi wa Steina, Smith Mrema (shati jeusi) wakijiandaa kuweka mashada ya maua kwenye nyumba ya milele ya Steina.
Wanne toka shoto (mwenye miwani) ni mdogo wa marehemu akiwa na Sean wakiwaangalia watumishi wa Kanisa wakimalizia kuweka msalaba juu ya nyumba ya milele ya Steina Mrema.
Kutoka shoto ni mtumishi wa Kanisa, Safina Msuya, baba mzazi wa Steina, Smith Mrema wakiwa ndugu na jamaa wakijiandaa kuweka mashada ya maua kwenye nyumba ya milele ya Steina Mrema.
Wazazi wa Steina, Bibi na Bwana Smith Mrema wakijiandaa kuweka shada la maua kwenye nyumba ya milele ya Steina Mrema.
Safina Msuya akiwa na mwanae ambaye ni mtoto wa marehemu, Sean Mrema wakiweka shada la maua kwenye nyumba ya milele ya Steina Mrema.
1 comment:
Kapumzika nyumbani kwake....
Post a Comment