ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 29, 2012

Wedding of Cheyenne and Edward B Rweyemamu

Juu na chini ni Harusi ya Cheyenne na Edward B Rweyemamu iliyofanyika siku ya Jumamosi tarehe November 12th,2011. Wichita Kansas kwenye Ukumbi wa Hidden Lakes Golf Course, 6020 S. Greenwich Rd. Derby,KS 
picha juu na chini ni  Mr & Mrs Rweyemamu wakipiga picha ya kumbukumbu siku ya Jumamosi tarehe November 12th,2011. Wichita Kansas kwenye Ukumbi wa Hidden Lakes Golf Course, 6020 S. Greenwich Rd. Derby,KS 
 Kalikwela Basingo Rweyemamu akipozi
 Cheyenne na Edward B Rweyemamu wakipiga picha ya pamoja na watoto waosiku ya harusi yao Jumamosi tarehe November 12th,2011. Wichita Kansas iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Hidden Lakes Golf Course, 6020 S. Greenwich Rd. Derby,KS. Mtoto wakike mdogo Jina lake ni Kalikwela Basingo Rweyemamu wakiume ni Tanner Basingo.
 Edward B Rweyemamu akipiga picha na Kalikwela Rweyemamu
Juu na chini ni Mr & Mrs Rweyemamu
 Juu na chini ni Wapambe wa Bi na bwana Harusi na Maharusi wakipiga picha ya pamoja
 Kwa picha zaidi Bofya Read More

8 comments:

DPB - UK said...

Hongera kaka picha nzuri sana za harusi. Good for you man. Wanaume wengi wa Kitanzania walio ughaibuni hasa UK na US (mostly US) siku hizi wanakimbilia kuoa wazungu. Dada zetu wana matatizo gani?? Lazima kutakuwa na sababu za msingi. For one, kuna ushahidi kwamba dada zetu huwa wajuaji zaidi wafikapo marekani au UK. Apparently kiburi, ubishi na kauri mbovu hukithiri - wanaongea sana. Mimi mwenyewe yamenikuta hayo hapa UK. So kwanini mwanaume asijitafutie zake mtasha simple tu aliye mpole na msikivu ili kuepuka stress na lawama zisizo na maana? Maisha yenyewe mafupi haya... DJ Luke usibanie hii!

Anonymous said...

HONGERA SANA BAHARIA MWENZANGU;MFANO MZURI KWA VIJANA!U AND FAMILY LOOKING GREAT.

Anonymous said...

mdau hapo juu hivi hujui pia wanawake wengi wa kitanzania walio majuu (UK, US, UAE etc) nao wanakimbilia watasha. sababu za wanawake wa kitanzania kukimbilia wazungu ni kama zifuatavyo;

1. wanaume wa kibongo walioko majuu si waoaji, walio wengi bado wapo wapo tu.
2. wanaume wa kitanzania majuu wamekuwa na tamaa za wanawake kupita kiasi. unakuwa mwanaume lazima awe na ma-girlfriends wawili, watatu na kwendelea. hawezi kutulia na mmoja....who wants that headache ya kukimbizana na wake wenza kila kukicha!
3. wanawaume wa kibongo majuu wanapenda wanawake wanaowa-take care, utamaduni huo ni wa kizungu zaidi ndo maana wanakimbilia wanawake wa kizungu ili wao wakae home na wanawake nao wanakimbilia wazungu ku-balance out maisha.

I don't think mwanamke wa kitanzania ukim-treat vizuri na kum-respect atakuwa na kiburi, ubishi aumjuaji. AKINA KAKA WA KIBONGO MLIOKO UGHAIBUNU BADILIKENI!

Anonymous said...

It is all about personal choices. kama wewe unapendelea burger and fries or chicken utakamata mnugu, if u prefer salad then mzungu atakufaa, lakini kama hivyo vyote havipandi hadi ule pilau, chapati, samaki wa kupaka na ugali, makande i am sure u know where to find them.

Anonymous said...

kauli mbovu zinasababishwa na nyie wenyewe. heshimu utaheshimika

Anonymous said...

Hongera Mr. and Mrs. Rweyemamu. usikose kumleta wifi kashozi aje atupikie matoke na rubisi.

mayor said...

mshikaji hongereni sana such a good family god bless your marriage to be the best one.mbarikiwe.
mayor

Anonymous said...

waitu waiyuka muno! nimbona akanana nikeogola!