Mtangazaji wa East Africa TV Bw. Allan Lucky Komba ambaye pia ni Rais wa wanafunzi a.k.a SKONGA akila kiapo cha ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa The Stalion jijini Dar es Salaam.
Bibi Harusi Haika Samweli akila kiapo cha ndoa.
Bwana Harusi akimvisha pete mkewe.
Bibi Harusi naye alifanya vivyo hivyo.
You may know kiss the bride.
Ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria ibada ya ndoa hiyo.
Mr & Mrs. Allan Lucky Komba wakipokea hati ya ndoa.
Sasa ni mwili mmoja.
Maharusi wakikata Cake
Mr & Mrs. Allan Lucky wakiwa meza kuu. Kwa picha zaidi Bofya humu
1 comment:
sio umeya wala nini mbona mama aliemshika bibi harusi kafanana sana na loveness naomba mnijibu kama ni too much mnisamehe
Post a Comment