ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 27, 2012

HAFLA FUPI YA KUMUAGA NA KUMPONGEZA GEN. KYANDA

 
Gen. Kyanda akitia saini kitabu cha wageni nyumbani kwa Brigedia Jenerali Maganga, ambae alimuandalia chakula cha jioni na wageni wachache waliojumuika pamoja katika kumuaga na kumpongeza baada ya kupandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Wafanyakazi na Utawala. Gen Kyanda alikuwa mwambata wa Jeshi la Uganda kwa takribani miaka minne Nchini Marekani na kkwa kipindi hiki chote amekua rafiki wa Waambata wa Jeshi wa Nchi za Afrika ikiwemo Tanzania.
Gen. Kyanda (kushoto) akisalimiana na Mrs Claudette Safari ,mke wa Col Ferdinand Safari Mwambata wa Jeshi Ubalozi wa Rwanda.
Kutoka kushoto ni Brigedia Jenerali Maganga, Mrs Judy Kyanda, Mrs Love Maganga na Gen. Kyanda wakipiga picha ya pamoja mara Gen. Kyanda alipowasili.
Kutoka kushoto ni Mrs Judy Kyanda, Gen. Kyanda na Mrs Cathy Rusgara, shemji ya Gen. Kyanda anaeishi Uingereza.
SG George Amamoo Mwambata wa Jeshi Ubalozi wa Ghana akiwa na Mkewe Mrs Agnes Amamoo, SG Amamoo ndie kiongozi wa Waambata wote wa Nchi za Afrika,Nchini  Marekani.
Mrs Love Maganga akiwa na Mumewe Brigedia Jenerali Maganga.
 Kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi, Dr. Mkama, Carey Khasakhala wa Safari Const. Co na Henry Kente.
 Kushoto ni Yves Bashonga akibadilishana mawazo na Col. H.O. Malweyi kutoka Kenya. 
Kutoka kushoto ni Mrs Ruth Malweyi, Mrs Mkama na Mrs Claudette Safari.
 Kushoto ni Col, H.O. malweyi akiwa amekaa pamoja na SG George Amamoo.
 Kutoka kushoto ni Matinyi, Yves Bashonga na afisa Ubalozi Dr.Mkama
 Juu na chini wageni waalikwa wakipata maakuli

No comments: