Monday, February 27, 2012

Balozi Maajar asaini kitabu cha maombolezo Ubalozi wa Kenya

Balozi Mwanaidi Sinare Maajar akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo Ubalozi wa Kenya nchini Marekani Jana tarehe 27.02.2012 kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Mazingira na Madini wa Kenya Mhe. John Njoroge. (Picha na Mindi Kasiga)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake