MAKAMUZI ya wanamuziki Ali Kiba’ Ibrahim Mussa ‘Roma’ na Bendi ya Extra Bongo ‘Next Level’, Jahazi Modern Taarab, Dogo Lila na shindano la ‘ Vaa, Imba na Cheza Kama Rihanna’, usiku wa kuamkia leo wametikisa vilivyo katika kituo cha burudani cha Dar Live.Hapa Ali Kiba akiwa jukwaani.
Wanenguaji wa bendi wakionyesha uwezo wao.
Muimbaji Rama Pentagon akiwa kazini.
Mzee Yusuf akitoa burudani.
Akionyesha uwezo wa kucheza na wacheza kiduku wake.
Washiriki ‘Kumi Bora’ wakiwa katika pozi baada ya kufuzu.
Msanii chipukizi Dogo Lila akipagawisha kwa mashabiki zake.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake