Wafanyakazi wa Ubalozi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, New York ukiwamzawadia Mhe. Balozi Sefue na Mkewe zawadi kwenye Hafla iliyofanyika kwenye Ofisi za Ubalozi New York.
Wafanyakazi wa Ubalozi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, New York ukiwamzawadia Mama Sefue zawadi kwenye Hafla iliyofanyika kwenye Ofisi za Ubalozi New York.
Mwambata wetu wa Jeshi Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani, Brigedia Jenerali Maganga pamoja na mkewe wakimzawadia Mhe. Ombeni Sefue na Mkewe Zawadi Maalumu.
Mhe. Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akionyesha zawadi aliyozawadiwa na Brigedia Jenerali Maganga.
Mhe. Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akionyesha zawadi toka kwa viongozi wa DICOTA Dr. Crispin Semakula (kulia) na Dr.Ndaga Mwakabuta (hayupo pichani)
Kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa New York, Dr. Asha Migiro, Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar, Mhe. Balozi Ombeni Sefue, Mama Sefue na Dr. Crispin Semakula.
Moja ya cheti kilichotolewa na Mhe. Balozi Ombeni Sefue kwa Maafisa na Wafanyakazi wa Balozi zetu Washington, DC na New York kama shukrani ya ushirikiano waliomupa wakati alipokua Balozi Washington, DC na New York.
Mhe. Balozi Sefue akitoa moja ya cheti kwa Mfanyakazi wa Balozi.
Mhe. Balozi Sefue akimzawadia cheti Afisa Ubalozi kwenye Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York.
Mhe. Balozi Sefue akimzawadia cheti Mfanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York.
Kwa picha zaidi Bofya Read more
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake