ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 14, 2012

MFALME WA MIPASHO NA MKARIBISHO WA LUNCH YA USIKU YA SIKU YA WAPENDANAO, DMV

Menyu ya nguvu aliyotayarishiwa Mzee Yusuf na wenyeji wake DMV, Missy Temeke na Sophia Mombasa
Menyu ikiendelea na Mfalme wa mipasho akipata lunch ya usiku siku ya wapendanao ilikuwa ni mkaribisho maalum kutoka kwa Missy Temeke na Sophia Mombasa.
Missy Temeke akimkaribisha Mzee Yusuf.
 Mashabiki wa Mzee Yusuf wakipata ukodak moment na mfalme.
 Kushoto ni Mfalme akipata picha ya pamoja na Erick Riddock
 Kutoka kushoto ni Seif Ameir, Mfalme, Mama mwenye nyumba wake Seif
 Mr & Mrs Matope wakipata ukodak na Mfalme.
 Mr & Mrs Riddock wakipata picha ya pamoja na Mfalme.
 Kushoto ni Dedi Luba na Sophia Mombasa (kulia) wakipata picha ya pamoja na Mfalme.
 Kushoto ni Aunt Rehema akiwa pamoja na Veronica Kasembe wakipata picha ya pamoja na Mfalme.
kushoto Nargis (Mama mwenye nyumba wake Seif) pamoja na Aunt Zuhura wakipata picha ya pamoja na Mfalme.
 Rahim (kushoto) Fatma (kati) Salum (kulia) wakipata picha ya pamoja na Mfalme.
 Wakina mama wakipata picha ya pamoja na mfalme.
Kwa picha zaidi Bofya Read more

6 comments:

Anonymous said...

This is really nice....

Anonymous said...

woooow !! I love that, mmependeza sana wadada, miss temeke na sophy hongereni kwa ukarimu ,God bless u all !!

Anonymous said...

luka huwa napata tabu sana kutuma comment hapa kwako,is kinda complicated!! can u make it simple plz, if u can !!

Anonymous said...

Mmmmmmh jamani chuki mchukieni lakini haji yake Mpeni , Missy-Temeke si mchezo anajua kutupagawisha jamani. Mtoto kajaaliwa,hongera mama Huna mshindani.

Anonymous said...

wow shughuli nzuri sana mlipendeza vyakula vyakumwaga Miss-Temeke god bless you wewe ni mkarimu sana na mrembo hongera sana we love you

Anonymous said...

Miss-Temeke uko juu kama povu la bia penda wewe sana tu