Wednesday, February 29, 2012

MSONDO NGOMA BABA YA MUZIKI YAIBOMOA SIKINDE

Kiongozi wa bendi ya Msondo, Saidi Mabela (kulia) akimkabidhi Saxaphone msanii mpya wa bendi hiyo Shabani Lendi Dar es Salaam leo, baada ya kuingia mkataba wa miaka miwili akitokea bendi ya Sikinde katikati ni Meneja wa bendi hiyo Saidi Kibiliti.(picha na www.burudan.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake