The Network Party ambayo hufanyika mara moja kwa mwezi ikiwakutanisha wadau wa DMV waliojumuika pamoja Jumamosi Feb 25, 2012 kwenye kiota cha Tabaq kilichopo 1336 U St, Washington, DC.
Wadau kutoka Nchi mbali mbali wakijumuka pamoja kwenye Party kubwa inayofanyika mara moja kwa mwezi chini ya Uporomota wa DMK Global, Next Level, JP Entertainment na maporomota wengineo na kuifanya party hii kuwa ya Party ya Kimataifa.
Hiyo sio Looka of the day, ni mambo ya The Network inavyopagawisha kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi hufanyika mara moja.
Wadau wakipata picha ya pamoja walipokutana kwenye kiota cha Tabaq kiliopo Downtown DC kwenye party ya The Nework inayofanyika mara moja kwa mwezi.
Wadau wakipata picha ya pamoja kwenye kiota cha Tabaq kilichopo Downtown DC kweli ilikua Burudani tosha kweli The Network si mchezo.
Poromota Peter Ligate (wa pli toka kushoto) akipata picha ya pamoja na wadau waliofika kwenye party ya The Network iliyofanyika Tabaq kiota kilichopo Downtown DC wa pili tka kulia ni Mr Dj.
Wadau wakipata kanywaji wakiwa ndani ya kiota cha Tabaq walipojumuika pamoja Jmamosi Feb 25, 2012 kwenye party ya The Network ambayo hufanyika mara moja kwa mwezi.
Wadau wakipata picha ya pamoja kwenye kiota cha Tabaq kilichopo Downtown DC kweli ilikua Burudani ya Ukweli The Network si mchezo.
Wadau wakipata picha ya pamoja walipokutana kwenye kiota cha Tabaq kiliopo Downtown DC kwenye party ya The Nework inayofanyika mara moja kwa mwezi.
The Network Party ambayo hufanyika mara moja kwa mwezi ikiwakutanisha wadau wa DMV waliojumuika pamoja Jumamosi Feb 25, 2012 kwenye kiota cha Tabaq kilichopo 1336 U St, Washington, DC.
Kwa picha zaidi Bofya Read more

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake