ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 20, 2012

SURPRISE...Adella's Birthday Diner with her friends.

 Adella akicheka mpaka jino la 32 unaliona kwa furaha ya Birthday yake ya kushutukizwa aliyofanyiwa na marafiki zake bila yeye kujua kwenye ukumbi wa starehe wa Alamo uliopo Mount Vernon, New York.
 Adella ( wa pili toka kulia) akiwa pamoja na marafiki zake kwenye chakula cha pamoja kwenye Birthday yake iliyofanyika kwenye ukumbi wa starehe wa Alamo, Mount Vernon, New York.
 Adella (kulia) akijumuika pamoja na marafiki katika Birthday yake ilyofanyikia katika ukumbi wa starehe wa Alamo.
 Adella (kushoto) akiwa na rafiki yake, akionyesha vidole akiashilia amani na kwamba roho yake imeridhia Birthday aliyofanyiwa na marafiki zake katika ukumbi wa starehe wa Mount Vernon, New York.
 Adella (kushoto) akiwa na marafiki zake akijiandaa kuzima keki yake ya Birthday.
 Adella akirukaruka kwa furaha kama ishala ya kusema asante kwa marafiki zake waliomuandalia Birthday dinner.
 Adella akikata keki yake ya siku ya kuzaliwa.
 Mtoto kazaliwa kumbeba lazima utuze pesa, ndivyo ilivyokua hapa marafiki wakimtuza pesa Adella kwenye Birthday Dinner waliyomfanyia.
 Adella akiwa na marafiki zake akionyesha pesa alizotuzwa
Mapesa yanazidi kuja, ndivyo hivyo Adella akimuangalia rafiki yake kifungua Benki yake aweze kumtuza.

(Picha kwa hisani ya Ebra NY, mwakilishi wa Blog ya VIJIMAMBO, New York)

4 comments:

Anonymous said...

Happy Birthday Adela !!

RC said...

Happy birthday dada ADELA.lov ur ndugu r.c.Jamani upendo mkubwa na wote hapo nyie pendeza sana wote.big up NYC p.poz n DC.

sm said...

Huyo mwenye top yellow ni marryNgola?look nice

Rachel Siwa said...

Hongera da'Adella,Mungu akubariki kwenye maisha yako.