Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akisisitiza jambo katika Uzinduzi uzinduzi wa mradi wa Matumizi ya Tecknolojia uliofadhiliwa na Wamarekani.kuliani kwake ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zahra Ali Hamadi na kushoto ni Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akiingia katika uwanuja wa Skuli ya Mwanakwerekwe C" Zanzibar na kusalimiana na wananchi mbalimbali pamoja na wanafunzi wa skuli hio katika Uzinduzi wa Mradi wamatumizi ya Tecknolojia,Mawasiliano na Habari kwa wanafunzi wa skuli za zanzibar na Pemba.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wa kwanza kushoto akikata utepe katika Uzinduzi wa Mradi wamatumizi ya Tecknolojia,Mawasiliano na Habari kwa wanafunzi wa skuli za zanzibar na Pemba katikati ni Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt .na wamwisho ni Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi.


No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake