
Wadau Dallas, Texas wakipata picha ya pamoja Jumamosi Feb 25, 2012 walipokua kwenye kiota cha maraha cha Blue Mesa kilichopo mjini hapo kazi ya poromota Alvin Mchaga ambae anakuletea Luxury Saturday kila Jumamosi address 5100 Beltline Road, Dallas, TX.

Wadau wa Dallas wakipata picha ya pamoja walipokua wakila hepi kwenye kiota cha Blue Mesa siku ya Jumamosi Feb 25, 2012.

Ni kupata picha za kumbukumbu ndani ya kiota cha Blue Mesa kilichopo Dallas, Texas.

Wadau wa Dallas, Texas wakila Hepi kwenye kiota cha maraha cha Blue Mesa kilichopo mjuni hapo.

Wadau wa Dallas, Texas wakipata picha ya pamoja walipokua wakila Hepi kwenye kiota cha maraha cha Blue Mesa.

Ni ukodak moment kwa wadu waliofika kwenye kiota cha Blue Mesa.

Wadau wa Dallas, Texas wakipata picha ya pamoja.

Wadau wa Dallas, Texas wakipata picha ya pamoja walipokua wanakula Hepi kwenye kiota cha maraha cha Blue Mesa.

Wadau wa Dallas, Texas wakipata picha ya pamoja.
1 comment:
Shosti Ikota umetukimbia? kula la mtoto!! life is too short.
Post a Comment