ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 14, 2012

WANACHAMA CUF WILAYANI TEMEKE WATIMKA NA KWENDA KUANZISHA CHAMA CHAO KIPYA

Baadhi ya waliokua wanachama wa chama cha wananchi CUF wakinyoosha mikono kukipinga chama hicho wakikiambia Kwaheri
Wanachama wakirudisha kadi kwa foleni 
Wanachama wakirudisha kadi kwa foleni
Juu na chini ni Waliokua wanacha wa chama cha Wananchi CUF wakisikiliza mada mbalimbali katika mkutano huo leo
(Picha kwa hisani ya Kapinga Blog)

1 comment:

Anonymous said...

hakuna hata mmoja mwenye hata kadi? hatuoni kama hao wanarudisha kadi, toa ushahidi wa hii taarifa