Abu Mwenye Mtanzaninia mwenye makazi yake Boston MA na Single yake Mpya inayoitwa chuki za nini,
Abu Mwenye ni Mbongo anaeendesha maisha yake kwa kufanya kazi na pia ni mwanamuziki wa kizazi kipya hapa anakuja na video yake ya wimbo wa chuki za nini akimshirikisha Mdabu ambae ni Mkenya ambae nae ni mkaazi wa pande hizo hizo za Boston.
No comments:
Post a Comment