Afisa, Ubalozi wa Tanzania Nchini Uingereza Mhe. Kiondo (kulia) akipiga picha ya pamoja na Danny Kaswamila walipokutana Kijiji cha Swahili kwa kanywaji na Lunch ya usiku. Mhe. Kiondo yupo Washington, DC tangia March 29, 2012 kwa vakesheni fupi. Miaka ya nyuma Afisa Kiondo alishawahi kuwa Afisa, Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment