Mh. Lowasa akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama
Picha juu na chini akiwasili katika viwanja vya Kikatiti,Jimbo la Arumeru Mashariki kwenye Mkutano wa Kampeni za Jimbo hilo.
Mgombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki wa Tiketi ya CCM,Sioi Sumari akisalimiana na Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Jenerali Mirisho Sarakikya.
Picha Juu na chini Maandamano ya waendesha Pikipiki katika Jimbo hilo
Juu na chini ni Morani wa Kimasai.
Juu na chini Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa akihutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za CCM Jimbo la Arumeru Mashariki leo kwenye viwanja vya Kikatiti,Wilayani Arumeru
Picha kwa hisani ya Othman Michuzi
Kwa picha zaidi Bofya Read More
Juu na chini ni Mh. Lowasa akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashari,Sioi Sumari.
Mh. Lowasa akisalimiana na Wabunge wengine leo.
Juu na chini ni Wasanii wa Bongo Fleva,Marlow na Suma Lee wakitumbuiza.
No comments:
Post a Comment