ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 31, 2012

Misa Takatifu Itafanyika Jumapili Tarehe 8 Aprili 2012 Saa 9:00 Mchana, DMV

 Tujitahidi kuhushiriki ni adhimisho la ufufuko wa Bwana Yesu. 

Nia za Misa:- Nia za kila Mmoja wetu binafsi. Kuombea watakaobatizwa. Kuwaombea ufufuo waliotuaga, Na kuwaombea Wagonjwa wetu.



TAFADHALI NIJULISHE KUSHIRIKI KWAKO ILI TUJUE NA TUFANYE MAANDALIZI KULINGANA NA IDADI YA WATU.


Mahali:- St. Edward Roman Catholic Church,
901 Poplar Grove St.
Baltimore, MD 21216

Baada ya Misa tutakuwa na viburudisho katika Ukumbi wa Parokia 2848 W. Lafayette Avenue, Baltimore, MD 21216.
TUNATEGEMEA KILA MMOJA ATAWAJIBIKA KULETA CHAKULA AU KINYWAJI.
Wimbo wetu "Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana. Tutashangilia na kuifurahia". Kila Mmoja awe tayari kuserebuka mpaka.

Karibuni wote. Tafadhali Mjulishe yeyote unayejua anapenda kujiunga nasi. 

No comments: