Monday, March 5, 2012

Ajali Mbaya dala dala zagongana uso kwa uso maeneo ya sinde jirani na Sangu secondari muda huu zaidi ya Abiria kumi wajeruhiwa

Muda mfupi baada ya ajali kutokea

 Polisi wakiwa wamefikaeneo la tukio kwa ajili ya kupima
 Hivi ndivyo Ajali inavyo onekana
Moja ya daladala hizo ambayo inaonekana ikiwa imeharibika baada ya ajali hiyo.

Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake