Thursday, March 1, 2012

BREAKING NEWSSS AJALI MBAYA YATOKEA USIKU HUU MAENEO YA IWAMBI MBEYA MMOJA AFARIKI PAPO HAPO

Ajali mbaya imetokea usiku huu barabara ya kuelekea tunduma eneo la iwambi kati ya gari aina ya toyota hilux na daladala aina ya toyota hiace mtu mmoja amefariki ambaye alikua dereva wa  gari pick up toyota hilux na majeruhi wanne waliokuwa kwenye dala dala hilo
Mke wa mmiliki wa basi la dala dala akilia kwa uchungu kuwa gari hiyo haijamaliza hata wiki tangu wanunue inapata ajali analia akisema sasa umaskini umeingia katika familia yao
Habari kamili tutawaletea kesho asubuhi
(Picha kwa hisani ya Mbeya yetu)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake