Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru akizungumza na baadhi ya wahariri kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari katika hafla aliyowaandalia katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam juzi.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Mwinda Kiula-Mfugale (katikati) akisalimiana na baadhi ya wahariri kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari katika hafla iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru (hayupo pichani katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam juzi.
Mmoja wa wahariri kutoka Gazeti la Daily News, Masato Masato akiuliza swali katika hafla iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru (hayupo pichani) kwa wahariri wakuu na wa habari za biashara na uchumi katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam juzi. (Picha kwa hisani ya GPL)
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake