ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, March 27, 2012

CHUPA YA KIBUYU

Mtoto wa jamii ya wafugaji wa kabila la Kimasai mkazi wa kitongoji cha Makuture, Dakawa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro ambaye jina lake halikufahamika akinyonya maziwa ya ng’ombe kwa kutumia kibuyu huku akiwa amelala miguuni mwa mama yake. (Picha na John Nditi).

No comments: