Bwana Harusi Athuman Ubao a.k.a. AJ Ubao (kati) akifunga harusi kwenye msikiti uliopo Briggs Chaney kulia ni Kaka yake bi Harusi anaeishi Washington State, Seattle pamoja wakiwa na sheh wa msikiti huo.
Baada ya Harusi ilikua ni kupiga picha ya pamoja ya Harusi
Bwana Harusi akipata picha ya kumbukumbu ya siku hii maalum na Sheh wa msikiti wa Briggs Chaney
Bi Harusi akimeremeta
Ndugu na jamaa wakaribu wa Bi Harusi wakipata picha ya pamoja
Bwana Harusi akimuombea Dua Mkewe
Dua ikiendelea
Juu na chini ni Bwana na Bibi Harusi wakichum.
(Picha na NY Ebra, Muakilishi wa VIJIMAMBO New York)
2 comments:
hongereni sana.
mungu awape masikizano na hongera dada kapendeza
Post a Comment