ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 21, 2012

IKULU:Rais Jakaya Kikwete Awaapisha Wakuu Wapya Wa Mikoa Ya Simiyu, Katavi, Njombe na Geita

Rais Kikwete akimwapisha Mh Magalula Saidi Magalula kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita
Rais Kikwete akimwapisha Dkt Rajab Mtumwa Rutengwe kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi
Rais akimwapisha Kapt. Paschal Kulwa Mabiti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Kapt Asery Msangi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe katika sherehe zilizofanyika leo asubuhi Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda na wakuu wa Mikoa ya Simiyu, Katavi, Njombe na Geita.Picha na IKULU

No comments: