Leo March 2, 2012 ni siku yangu ya kuzaliwa kwanza namshukuru Mungu na nashukuru wale wote walionitakia Happy Birthday kwenye fb, simu pia bila kumsahau Jestina George kwa kunipaisha kwenye blog yake, Asanteni sana na Mungu awabariki kwa upendo wenu.
12 comments:
Happy Birthday DJ Luke. Enjoy siku yako mzee.
Sandaly
Happy Bday Director..
Hongera mzee wa vijithings, songa mbele mzee, mshukuru mungu kwa kila jambo mpaka hapo ulipofikia mzee.
Happy B'day
Hongera sana,Mungu akuongezee miaka mingi yenye furaha,Baraka na Amani!!!!!!
HAPPY BIRTHDAY KAKA...THANX FOR KEEPING UP WITH US !
Happy Birtday DJLuke.
Hongera Mpwa Luke kwa Siku yako Kuzaliwa na Mungu Akubariki Tele.
From The Mwombelas'
HAPPY BIRTHDAY MZEE WA VIJI, TUNAKUTAKIA MAISHA MEMA MAREFU NA YENYE KHERI, KAZA BUTI, ENDELEZA VIJI, PIGA BOX
Happi bathidai kaka
Happy Birthday Uncle Luke
Much Love from
Yusuf, Alma, Alu & Julius
Happy b'day Mpwa!hongera sana kwa kuuona mwaka mwingine!tunakuombea heri ya umri mrefu na maisha ya furaha na amani.(DULLAHZAY & ZAYDULLAH).
HAPPY B-DAY MKUU
from
Dancas Kiondo
Post a Comment