ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 7, 2012

LIBENEKE JIPYA WWW.MOROGOROFAMILY.BLOGSPOT.COM

Karibuni wadau katika libeneke letu la wana Moro na tunapenda kutambulisha rasmi blog yetu ambayo linapatikana kupitia link hii 

Tunapenda pia kukaribisha habari, maoni na matukio ya Mji Kasoro Bahari aka Morogoro kupitia barua pepe

Tunashukuru sana kwa ushirikiano wenu na karibuni sana.

Morogoro Family

One Love

No comments: