
Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu(CHADEMA)Mh Zitto Kabwe akilakiwa na Wananchi wa Tanga Hivi Karibuni

Umati wa watu wakimshangilia Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu katibu Mkuu (CHADEMA) Mhe. Zitto Kabwe.

Umati wa watu ukipagawa baada ya kumuaona Mhe. Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu (CHADEMA)

Naibu Katibu Mkuu(CHADEMA)Mh Zitto Kabwe akilakiwa na Wananchi wa Tanga Hivi Karibuni.
Picha na Zitto Kabwe(MB)
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake