Baadhi ya wanawake kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mbeya wakichukua miti tayari kwenda kupanda kwenye milima ya Isyesye.
Mwanasheria wa Mkoa wa Mbeya wa kwanza kutoka kushoto akiongozana na Afisa habari pamoja na Afisa Biashara kwenda kupanda miti katika Milima ya Isyesye.
Wakina mama wengine wakiwa wanapandisha Mrimani kwa Furaha kwenda kupanda Miti.
Wakina Mama wakiwa wamejipanga Tayari kwa kuanza kupanda Miti .
Wakina mama wakiwa wanapeana ushauri jinsi ya kuweka mti katika shimo ili wapate upanda Vizuri
Mama akiwa katika mpango mzima wa kuchimba Mashimo kabla ya kupanda miti
Mwanasheria wa Mkoa akiwa anapanda Mti katika Milima ya Isyesye
Afisa Habari wa Mkoa wa Mbeya akiwa anapanda mti katika Milima ya Isyesye Leo
Wanaume nao walikuwepo wakiwasindikiza akina Mama kupanda Miti katika Milima ya Isyesye
Afisa Habari wa Mkoa wa Mbeya akiwa bega kwa bega na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Isyesye katika kupanda miti
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Isyesye aikwa pamoja na wakina mama wakishirikiana kupanda Miti
Hili ni eneo la Nje kidogo na sehemu ambapo wakina mama walikuwa wanapanda miti, Kulikuwa na Mihogo ya Kupunguzia Njaa.
Picha zote na mwandishi wetu Maalum Joseph mwaisango ambae yupo kwenye eneo la tukio Muda Huu.
Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu












Hilo ni jambo la la mbolea kwa utunzaji wa mazingira na kuweka mandhari ya shule hiyo kuwa ya kuvutia. Ikiwezekana akina mama nchini kwetu kote wangeiga tabia hiyo kokote walipo. Siyo kina mama peke yao hata kina baba, vijana na wanafunzi wangeweza kuwaunga mkono pia.
ReplyDelete