ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 17, 2012

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Florah Mbasha na Mchungaji Deogratias Lubala

Mwimbaji  wa nyimbo za Injili Florah Mbasha  na Mchungaji Deogratias Lubala Kutoka Tanzania watakuwa wageni katika Kanisa la Huduma ya Injili kwa njia ya Msalaba (The Way of the Cross Gospel Ministries) Jumapili March 18, 2012.  Florah na wenzake watamtukuza Mungu kwa nyimbo.  Ibada yetu itaanza saa Saba mchana. Karibuni Wote tuje tumwabudu Mungu wetu.
Rev. John Mbatta

No comments: