

Juu na chini ni Twasila ya kiota kipya cha makamuzi ya kila mwezi ya The Net Work 3 itakayofanyika Jumamosi hii March 24, 2012
Maporomota DMK Global, J&P Entertainment na NXT LVL wakitia saini mkataba wa uhalali wao wa kuwepo Jumamosi Hii ya March 24, 2012 kwenye kiota hicho huku wakirekebisha mahesabu ya mapango mzima. USIKOSE






1 comment:
Hahahahhahahahhahahahahhahahhaha !!!!!!!!!!!!!!!!!!
Post a Comment