RATIBA
Sherehe zitaanzia saa 3:00 Asubuhi (9:00am) Mpaka saa 12:00 jioni (6:00 pm) kwa mechi za soccer kugombea Kombe la VIJIMAMBO timu zitakazoshiriki ni:
Burundi kutoka Arizona
Serengeti Boyz kutoka Houston, TX
Tanzanite kutoka Atlanta, GA
Kili Stars Kutoka Durhan, NC
DC Nyarugusu Kutoka DC.
Vitambi FC Wakenya Kutoka DC
na Stars United.
Mechi zitachezewa
8000 Walker Mill Rd,
Capitol Heights, MD 20747
Na kufuatiwa na Sherehe ya usiku zitakazoanza saa 1:00 jioni (7:00 pm) Tafadhali naomba uzingatie muda.
RADIO MBAO ITARUSHA PARTY YA VIJIMAMBO LIVE
Napenda kutoka shukurani kwa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani, Wadhamini waliojitokeza na shukurani za pekee ziwaendee Wadau wa VIJIMAMBO waliojitokeza na kujitolea kuleta chakula, vinywaji na kupamba ukumbi ili sote kwa pamoja tufanikishe sherehe hizi kwani pamoja tunaweza.
PARTY YA USIKU NI KWA WATU WAZIMA TU
.jpg)
No comments:
Post a Comment