Wakina Dada wakijiandaa kuwalaki Bwana na Bi Harusi walipokuwa wakiwasili ukumbi uliopo Cherry Hill Rd, College Park.
Maharusi wakiwasili kwenye Ukumbi wa Knight Of Columbus uliopo College Park.
Maharusi wakielekea ukumbini
Ni vigeregere na shangwe kwa Maharusi huku wakiwa wameshikana mikono kama ishara ya upendo.
AJ na Helewa wakimeremeta.
Mama akitoa husia kwa niaba ya wazazi wa Helewa
Ndugu jamaa na marafiki wa karibu wakipata picha ya pamoja.
Dj Luke akitumbuiza kwenye sherehe hiyo.
Wageni waalikwa wakipata picha ya pamoja.
Baadhi ya wanakamati wakifuatilia sherehe.
Maakuli yakiandaliwa.
Ndugu, jamaa na marafiki wapata picha ya pamoja.
DC sisters wakiandaa menyu.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiandaa chakula cha jioni.
wageni waalikwa wakiwa kwenye meza yao.
(Picha na NY Ebra, Muakilishi wa Blog ya VIJIMAMBO New York)
(Picha na NY Ebra, Muakilishi wa Blog ya VIJIMAMBO New York)
Kwa picha zaidi Bofya Read More
12 comments:
ebra mauzo ya hali ya juuuuuuuuuuu bro, hauuziki mnadani kaka langu, watakuweza wapi !!!!!!!!!!!!!!!!!!! me love this
Big Up Aj Wish you all the best happy couple and long life merried.....
maisha ni hapa hapa Duniani. Allah akbar!
Mashaallah huyu wa kwenye picture aliotokea Dulla wa Zai, alievaa kilemba chekundu Kama cha kimaskati nimekipenda ametokea Kama swahaba wa mtume Mohamad ( saw) na wanaume woooote mmependezaje na vibarakashia. DJ luker napenda umevaa kibalakashia na wewe umenogesha shughuli.
HONGERA SANA MAHARUSI, BI HARUSI KAPENDEZA HASA !!
MDAU WA DC
Hongereni sana Mungu abariki ndoa yenu.hahaaha Ustadhi Luke umependeza!
kk yangu Adam umependeza sanaaaaaaa na kk yangu Alawi si mchezo uislamu niukubali...
Hongera sana AJ,bi Harusi kapendeza sana,Mungu atabariki pendo lenu na kuwaondolea jicho la husuda.
Congratulations lovebirds..best of Luck!
njoo muone ilivyo vema na kupendeza ndugu wakikaa pamoja kwa umoja Aj na Helewa safi sana mapenzi kizungu zungu wenye wivu wajinyonge.
Du ebra! sura yako tu ma dia!
kweli ustadh wangu wa kilemba chekundu kama si wewe Mashaallah;
salama zao Nj!pia hongereni sana bwana na bi harusi M/Mungu awape
subra kila moja wenu,Insha Allah!
Post a Comment