ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 26, 2012

TANZANIANS IN WASHINGTON STATE

4 comments:

Anonymous said...

Kwanini musipate Ushauri wa jumuia nyingine za watanzania - Hebu jiulize swari unawaita Watanzania wote wakachague sijui nini,ili kufanya hivyo Walipie? Does it make Sense?? kama ni mahari pakufanyia tafuta free community Centers or parks nimatumani yangu zimejaa in WA state.

Tunawatakia kila raheli

A DOLA said...

Dear ndugu yangu bado sijakufahamu what u really mean ushauri wa jumuiya nyengine???na suala lako eti hujuwi wa tz wakachague nini.....1stly wewe did not say/state if you are in wa state or out of state,but if you are in wa state then fika you should know whats goin on bro/sis......karibu watu wote wamefowadia emails abt this election na kulipa ni mchango wa ukumbi pamoja na chakula.....doing uchaguzi at a park does it really make SENSE????I DONT THINK SO na ukumbi that we normally do sherehe zetu mdogo sana kama ulikua na ushauri bro/sis basi ungewasiliana na uongozi wa tanzaseattle by email/tell would have been so glad/happy to hear your commets thx.....Mayor Seattle wa A.DOLA

Anonymous said...

Wewe Anonymous hapo juu, ambaye unabonga bonga tuu, wenzio tayari wanajua kwamba kuna kumbi za bure lakini hawakuzitaka. siku njema

Anonymous said...

Wewe Bwana DOLA anon wakwanza hakufanya kosa, sivibaya kuiga tunasikia mambo yenu hapo Seattle na umoja wenu, Hebu angalia Tangazo la Watanzania DMV, Anon aliwataka kuiga/pata ushauri kwawengine-kasumba ya kujua kila kitu huwa hufiki mbali. Na hakuna haja ya kuwasiliana na wewe, Hapa panatosha - Asante Vijimambo.

ANATORI