Andre Villas-Boas hatimae atimuliwa Chelsea, Habari zilizopatikana leo kutoka Club ya Chelsea zinasema Andre Villas-Boas (34) amepoteza kazi hata kabla ya saa 24 kutimia baada ya kupoteza mchezo wa ligi kuu ya Uingereza pale Chelsea ilipofungwa na West Brom kwa bao 1-0 na kufanya timu ya wanablues kushika nafasi ya tano kwenye msimamo wa ligi hiyo.
Kocha msaidizi wa Chelsea Roberto Di Matteo ndio atashikilia nafasi ya ukocha mpaka hapo msimu utakapoisha.
No comments:
Post a Comment