ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 29, 2012

Balozi Maajar akutana na Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV

 Picha Juu na chini ni Mhe. Mwanaidi Maajar Jumamosi April 28, 2012 alikutana na uongozi mpya wa Jumuiya ya Watanzania DMV katika Ofisi za Ubalozi wetu Jiji Washington viongozi waliochaguliwa kwenye uchaguzi uliokua wa kihistoria ni Rais Iddi Sandaly, Makamu wa Rais Raymond Ibrahim, Katibu Amos Cherehani, Muweka hazina  Genes Malasy na wajumbe wa bodi ni Dr. Hamza Mwamoyo, Al-Amin Chande, Grace Sebo Mgaza, Eliserena Kimolo pamoja na Haruni Ulotu
 Viongozi wa Jumuiya wakipiga picha ya pamoja walipokua Ubalozi wetu jijini Washington, waliokaa kutoka shoto ni Muweka Hazina Genes Malasy, Katibu Amos Cherehani, Rais Iddi Sandaly na Makamu wa Rais Ray Ibrahim na aliosimama kutoka kushoto ni Wajumbe wa Bodi Eliserena Kimolo, Al-Amin Chande, Grace Sebo Mgaza na Dr. Hamza Mwamoyo.
Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar katika picha ya pamoja na na uongozi mpya wa Jumuiya ya Wanzania DMV pamoja na maafisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani.

Picha kwa hisani ya Mindi Kasiga

No comments: