ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 29, 2012

TIMU YA TANZANIA DMV YAIBANJUA TIMU YA GHANA 3-2

Timu inayoundwa na Watanzania DMV leo katika mechi yao ya kwanza katika kinyang'anyiro cha 2012 DMV DIASPORA WORLD CUP wameibanjua timu ngumu ya Ghana kwa bao 3-2 .

Mpaka mapumziko timu ya Tanzania ilikua mbele kwa bao 2-0. mechi itakayofuata itachezwa May 12, 2012 na Ethiopia na mechi hii itachezewa viwanja vya Greencastle.

No comments: